Dark Lyrics
SUBMIT LYRICS LINKS METAL LYRICS - CURRENTLY 13 800+ ALBUMS FROM 4500+ BANDS
ABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVWXYZ#

THE SEED OF DATURA LYRICS

1. Mortalized Eternity
2. Wonderland
3. Empty Chasm of Pain
4. Pokea Uponyaji


[MARTIN fucking KANJA]

(Sawa tuende kazi)

Pokea
Uponyaji wako,
Wanadoea pesa zako
Walanguzi, wa injili
Wanakupoteza na bado hamuoni
Panda mbegu
Bila hiyo haupokei uponyaji wako,
Na bado unawaamini
Na bado unajua hawakusaidii
Na bado unaingia
Kwa mtego mbaya

[LAWRENCE MUCHEMI]

Ooooooooohhhhhhh

Akili ni Mingi (ni mingi)
Akili ni Mingi (ni mingi)
Akili ni Mingi (ni mingi)
Akili kwa Wingi
Lakini,
Wapi msingiii?
Kazi
Umeachia mwenye ana akili zaidiii
Anakupatia kipindi (kipindi)
Huku,
Anakukaidi (kukaidi)
Anakupatia kipindi,
Huku anakukaidi (kukaidi),
Kinyuma anakuchoma
Akikunyonya kimelea

Hajiwezi (hajiwezi)Thanks to denismwendaofficial for sending track #4 lyrics.


Submits, comments, corrections are welcomed at webmaster@darklyrics.com


THE SEED OF DATURA LYRICS

ABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVWXYZ#
SUBMIT LYRICS LINKS METAL LYRICS - CURRENTLY 13 800+ ALBUMS FROM 4500+ BANDS
- Privacy Policy - Disclaimer - Contact Us -