Dark Lyrics
SUBMIT LYRICS LINKS METAL LYRICS - CURRENTLY 13 800+ ALBUMS FROM 4500+ BANDS
ABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVWXYZ#

IRONY DESTROYED LYRICS

single: "Najiskia Kuua Tena" (2019)

1. Najiskia Kuua Tena

1. Najiskia Kuua Tena


Usipo nitii ntakutia mtii
Ukinicheki mtaani siguziki mi ni hezzy

Mandirao twaziwai na intentions za kumurder matargets around
Yeah, nina mkono wa sheria na najiskia kuua tena
Mayout nalandisha hakuna bakisha mayout nalandisha hakuna kurekebisha

Usipokiri hii amri utajua boss ni nani ntakupata pahali unaishi na
Tutakutoa uhai
Ue gaidi ama mgondi lazima ukule marisasi

Na najua kua ya kua ntakuua hautakua na say na najua kua ya kua ntakuua
Hakutakua na say

Usiponitii ntakutia mtii

Hivi ndo mi hufeel kutoa uhai



Thanks to denismwendaofficial for sending these lyrics.


Submits, comments, corrections are welcomed at webmaster@darklyrics.com


IRONY DESTROYED LYRICS

ABCDEFGHIJKLMNOPQRSTUVWXYZ#
SUBMIT LYRICS LINKS METAL LYRICS - CURRENTLY 13 800+ ALBUMS FROM 4500+ BANDS
- Privacy Policy - Disclaimer - Contact Us -